30
Sep
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024.