29
Jun
Mafundi sanifu wa maabara za kupima Ubora wa Bidhaa zitokanazo na Mimea dawa kutoka Taasisi mbalimbali nchini wametakiwa kushirikiana katika kazi zao ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini zinafikia soko la kimataifa na kuchangia katika pato la watengenezaji na taifa.