The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Investment, Industry and Trade has commended Sokoine University of Agriculture (SUA) for conducting various research studies aimed at boosting the country's economic growth and improving the lives of citizens.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Raphael Chibunda amesema nia ya kuandaa futari hiyo ni kuhakikisha chuo kinazidi kudumisha mshikamono uliopo baina ya Manejimenti, wafanyakazi na wanafunzi wake.
Matokeo ya Utafiti yanaonyesha kuwa shughuli za kibinadamu zinazofanyika katika maeneo ya dakio la bonde la maji yaliyopo chini ya ardhi la makutupola ambalo ndio chanzo kikuu cha maji cha Jiji la Dodoma zinauwezekano mkubwa wa kuathiri uwepo wa chanzo hicho cha maji endapo jitihada za makusudi hazitachukuliwa kulinda chanzo hicho.