20
Apr
Mradi wa CLIMATE-SMART AFRICAN RICE umesaidia kupata aina mpya ya mbegu ya mpunga inayoweza kustahimili madhila ya mabadiliko ya tabia nchi lakini pia utawajengea uwezo watafiti na kuwezesha upatikaji wa vifaa na miundombinu ya utafiti.